ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Tuesday, April 9, 2013

SKYLIGHT WAACHA GUMZO : WAKAZI WA MWANZA WAOMBA AWAMU NYINGINE.

SAM MAPENZI:...I'm here alone, didn't wanna leave My heart won't move, it's incomplete Wish there was a way that I can make you understand.  ........ANETH KUSHABA AK47: .....But how do you expect me to live alone with just me 'Cause my world revolves around you It's so hard for me to breathe. On Action.

Vijana wa Skylight Band Kutoka kushoto ni Sam Mapenzi, Joniko Flower na Sony Masamba wakijitambulisha  kwa mashabiki wa Band hiyo kwa staili ya aina yake  jijini Mwanza katika ukumbi wa Villa Park Resort Jumatatu ya Pasaka.

Raha ya Skylight band na mashabiki wajuao burudani.

Sebene Pevuuu....Trankankaku....!!

Aneth Kushaba akicheza na shabiki wake.

 Dr. Sebastian Ndege akimtunza mijihela Sony Masamba.


Picha juu na chini ni Hellen Kazimoto na Msanii Shilole wakishow love jijini Mwanza ndani ya Villa Park Resort.

Shilole akimtunza  pesa taslim shilingi Laki mbili Meneja wa Bendi ya Skylight Aneth Kushaba AK47 kwa niaba ya Villa Park Resort ya jijini Mwanza kwa kufurahishwa na kazi nzuri ya Bendi hiyo.

Itasema.

Mashabiki na mizuka yao.

Kachumbari na pilipili...

Muziki ukinoga bwana we...acha tu!!

Mashabiki wa Skylight Band wakifurahia maisha.

Wanaskylight Band kutoka kushoto ni mpiga tumba Daudi, Mopao Jonico Flower, na mkung'uta bass Chili Chala wakishow love ndani ya Villa Park.

Mary Lukaz na Aneth Kushaba wa Skylight Band.

Convoy la 'myuzishian' wa Skylight Band.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.