![]() |
| Akinamama wakipeta mchele kuziondoa pumba katika moja ya vituo nje kidogo ya wilaya ya Kahama karibu na mgodi wa Bulyankulu. |
![]() |
| Barabara kuelekea wilaya ya Kahama. |
![]() |
| Shughuli za usakaji madini ya dhahabu ndani ya mgodi wa Bulyankulu wilayani Kahama mkoani Shinyanga. |
![]() |
| Lango kuu la hospitali ya wilaya ya Kahama. |
![]() |
| Kipitashoto ndani ya hospitali hiyo. |
![]() |
| Kilichoandikwa bangoni. |
![]() |
| Kweli tumetoka mbali.. haijalishi zimetengenezwa kwa malighafi duni kiasi gani tuzo ni tuzo 'mwanawane' Ni Tuzo za kale zilizotwaliwa na moja kati ya idara za Afya wilayani Kahama. |
![]() |
| Kama ni maji kisima kipo... |
![]() |
| Kuleee... |
Tupe maoni yako









0 comments:
Post a Comment