![]() |
| Kulia ni barabara ya Nyerere na kushoto ni barabara ya Rwagasore zikikutana kuelekea barabara ya kelekea Shinyanga. |
![]() |
| Tambarare na kilimani. |
![]() |
| Shesheni ya Mwanza. |
![]() |
| Hoteli ndani ya Ziwa Victoria. |
![]() |
| Vikwangua anga vya kale na vya sasa. |
![]() |
| Pale katikati ndiko kiwanja cha Sahara aka Kiwanja cha vita vya majukwaa ya siasa. |
Tupe maoni yako






0 comments:
Post a Comment