![]() |
| Kutoka angani eneo la mashamba ya Ilemela karibu na Air Port Mwanza. |
![]() |
| Nyuma ya Capripoint. |
![]() |
| Jicho la kamera likielekezwa Mwanza North. |
![]() |
| Uvuvi ukiendelea ziwani Victoria. |
![]() |
| Miamba ya maji. |
![]() |
| Ni chombo cha usafiri (Buganda) ambacho hii leo kimegeuzwa kuwa sehemu ya chumba cha hoteli Tilapia iliyoko Capripoint wilayani Nyamagana jijini Mwanza. PICHA ZOTE NA Moiz Husein. |
Tupe maoni yako






0 comments:
Post a Comment