![]() |
| Nesta Sanga ni moja kati ya waimbaji waliosisimua ndani ya Gospel Festival tizama watu wa Mungu walivyomzunguka wakiimba naye. |
![]() |
| Hapa raha ya ufufuko ilimvuvia kila mmoja. |
![]() |
| Mwimbaji nesta Sanga akiimba wimbo ujulikanao kwa jina Twendeni huku akipewa sapoti ya kutosha. |
![]() |
| Sura za watumishi wa muziki wa Injili zikiranda huku na huko kudadisi yanayoendelea. |
![]() |
| Wananchi hawakupitwa na shughuli za uwekaji kumbukumbu. |
![]() |
| Jamani rahaaaaaaaa....Ndiyooooo.... |
![]() |
| Moja ya kwaya za jijini Mwanza zikihudumu. |
![]() |
| Mwimbaji anayesisimua katika muziki wa injili akitamba na wimbo 'Zunguka' Enock Jonas akishusha upako... |
![]() |
| Meza kuu ikijadili jambo. |
![]() |
| Zunguka, zunguka, zunguka, zunguka eeeeeeeeeh!!!!! |
Tupe maoni yako

















0 comments:
Post a Comment