ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Wednesday, March 20, 2013

DJ FETTY + CLOUDS CREW NA ZIARA FUPI ZOO.

Pichani CEO wa K Records Philbert Kabago (mlangoni) akiwapokea wageni wake Dj Fetty, Sebastian Maganga ambaye ni Meneja wa vipindi Clouds Fm na Joff Leah wa Sports Xtra, walipofanya ziara fupi jijini Mwanza.

Dj Fetty akiwa na baadhi ya wasanii wa K Records.

Clouds Crew ikipata  maelezo juu ya kazi mbalimbali zimazofanywa na zilizofanyika ndani ya K Records chini ya Mtayarishaji 'Rolly Mwaaaa'.

Clouds Crew ikipata  maelezo juu ya kazi mbalimbali zimazofanywa na zilizofanyika ndani ya K Records chini ya Mtayarishaji 'Rolly Mwaaaa' aliyeketi kulia, huku mmiliki wa studio hizo zilizopo Kilimahewa jijini Mwanza Philbert Kabago akishuhudia yanayoendelea.
Nini kilichojiri kwenye ziara hiyo? Sikiliza Redio ya Watu.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.