![]() |
| Mara baada ya kuwasili kwenye himaya ya studi hizo, Clouds Crew ilitembezwa kila kitengo kujionea shughuli zinavyofanywa na wadau hawa waliowekeza kanda ya ziwa. |
![]() |
| Producer wa audio na video ndani ya studio za One Love FX TIDDY Hotter (kushoto) akitoa ufafanuzi kwa Clouds Crew pindi ilipofanya ziara kwenye himaya hiyo. |
![]() |
| Hapa macho na masikio yote yalielekezwa kwa Director Shahib aliyekuwa akifafanua jambo. |
![]() |
| Hypa na one mic. |
![]() |
| Prizenta wa Sports Xtra Joff Leah na one mic. |
![]() |
| Sasa ni wakati wa tathinini..... |
![]() |
| Li-picha la pamoko. |
Tupe maoni yako









0 comments:
Post a Comment