ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, March 18, 2013

ASUBUHI HII SOKO LA MWALONI KIRUMBA

Kumekucha kazi za usakaji kwa ndege na wanyama na ziendelee.

Kama ni upakuaji au upakiaji na ufanyika.

Saka saka na kujipanga.

Biashara asubuhi jioni mahesabu.

Hekaheka.

Nguvu kazi.

Njiani kuelekea soko langu.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.