![]() |
| Kwaya zinajinoa vilivyo kwa style kalikali viwanjani hapa sambamba na kuongeza ubunifu. |
![]() |
| Nao watu hawakukubali kupitwa na Amsha amsha hii ya kuelekea tarehe 31/03/2013 sikukuu ya Pasaka. |
![]() |
| Nyang'omango |
![]() |
| Macho kwenye Amsha amsha ya Pasaka. |
![]() |
| Vikundi mbalimbali na ustaarabu wao. |
![]() |
| Waimbaji wa moja ya kwaya wenyeji hapa Buhongwa. |
![]() |
| Sound 'cheki' |
![]() |
| Pozi.... |
![]() |
| Akinamama na watoto wao wakiyawajibisha macho. |
![]() |
| Kwa uhuru na amani viwanjani hapa. |
![]() |
| Hapo vipi? |
![]() |
| Vijana wa Mungu kazini.... |
![]() |
| Burudani imenoga. |
Tupe maoni yako
















0 comments:
Post a Comment