ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, March 25, 2013

AMSHA AMSHA YA PASAKA ILIVYOKUWA JANA

Wanaitwa Paradiso Baptist Choir Mwanza wakishambulia jukwaa la Amsha amsha ya kuelekea Pasaka ambapo jumapili ya tarehe 31 ndani ya CCM Kirumba kutakuwa na tukio kubwa la Muziki wa injili lijulikanalo kama Pasaka Cospel Festival.


Mwanamama Ester Evod na bendi yake wakishambulia jukwaa la Amsha amsha ya kuelekea Pasaka katika viwanja vya wazi  vya kanisa la EAGT Lumala, ambapo jumapili ya tarehe 31 ndani ya CCM Kirumba kutakuwa na tukio kubwa la Muziki wa injili lijulikanalo kama Pasaka Cospel Festival.


Wanaitwa Paradiso Baptist Choir wakishambulia jukwaa la Amsha amsha ya kuelekea Pasaka ambapo jumapili ya tarehe 31 ndani ya CCM Kirumba kutakuwa na tukio kubwa la Muziki wa injili lijulikanalo kama Pasaka Cospel Festival.


Hapa ilikuwa 'eksheni' kwenye wimbo wenye makatazo.


Mchungaji wa EAGT Lumala  Kulola akitoa shukurani zake kwa waandaaji wa Amsha amsha na Pasaka kupitia Mc Jackline aka Bonge wa Yesu,  ambapo ameupongeza  mpango huo kwa kusema kuwa umechangia kwa kiwango kikubwa kukutanisha waimbaji wa makanisa mbalimbali kujenga urafiki na mahusiano ya kiroho na kuwakomaza katika suala la umiliki wa jukwaa la muziki wa injili.


Our Dj aka Fundi mitambo.


Mama mchungaji akiiombea shughuli ya siku ya Pasaka itakayo kutanisha waimbaji mahiri wa muziki wa injili CCM Kirumba jijini Mwanza.


Ni mojakati ya vijana walio sisimua wengi vijana wa Mungu Exelent Band kutoka kanisa la Winners jijini Mwanza wakishambulia jukwaa la Amsha amsha ya kuelekea Pasaka ambapo jumapili ya tarehe 31 ndani ya CCM Kirumba kutakuwa na tukio kubwa la Muziki wa injili lijulikanalo kama Pasaka Cospel Festival.


Vijana wa kanisa la Mchungaji Mpemba wanaitwa Kwaneema Choir, wamesisimua mbayaaaa.


Hapo jeh!!!!!!


Mtangazaji wa living water Fm Mwanza Fabian Fanuel ambaye pia ni Mkurugenzi wa COSU Entertainment akihojiana na akinadada waliofika kwenye Amsha amsha na Pasaka, wamejiandaaje na Pasaka.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.