ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Tuesday, March 19, 2013

AJALI YA BASI NA TIPA LA MCHANGA YAUA WATATU JIJINI MWANZA

Ni bus la Makwizi lililokuwa likitokea Nata maeneo ya wilaya ya Serengeti mkoani Mara,  lenye namba za usajili T961 AGP limepata ajali mbaya leo katika eneo la Nyamongolo nje kidogo kuingia jijini Mwanza, mara baada ya kugongana na Tipa la mchanga lenye namba za usajili T 971 BYJ na kusababisha ajali hiyo iliyopelekea watu wawili kufariki dunia (wote walikuwa kwenye tipa) na abiria mmoja aliyekuwa amekaa mbele kushoto kwa dereva kwenye  bus hilo, Dereva wa gari hilo amevunjika miguu yuko hoi Hospitali ya Rufaa Bugando. 

Wananchi wakiwa wamelizingira bus la Makwizi lililokuwa likitokea Nata maeneo ya wilaya ya Serengeti mkoani Mara,  lenye namba za usajili T961 AGP limepata ajali mbaya katika eneo la Nyamongolo Igoma nje kidogo kuingia jijini Mwanza, mara baada ya kugongana na Tipa la mchanga lenye namba za usajili T 971 BYJ na kusababisha ajali hiyo iliyopelekea watu wawili kufariki dunia (wote walikuwa kwenye tipa) na abiria mmoja aliyekuwa amekaa mbele kwenye  bus hilo, Dereva wa gari hilo amevunjika miguu yuko hoi katika hospitali ya Rufaa Bugando. 

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.