ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Friday, February 8, 2013

SHEREHE MAALUM YA WAPENDANAYO KWA AJILI YAKO NA MPENZI WAKO.


Mikono Media tunakukaribisha wewe na mpenzi wako ujumuike nasi Alhamis ijayo, tarehe 14 Mwezi huu, kusherehekea siku Maalum ya Wapendanao (Valentine's Day) kwenye ukumbi wa JB Belmont Hotel. Pata chakula cha usiku, muziki murua wa Live Band na mandhari nzuri kabisa kwa ajili yako wewe na mpenzi wako, bila kusahau ugeni maalum kutoka kwa Bw. Chris Mauki atakayetuelimisha zaidi kuhusu kujenga mahusiano imara ya kimapenzi. Kiingilio ni Tsh 100,000/= kwa mtu na mpenzi wake (couple) kuanzia saa 12 jioni.
Fanya booking mapema, piga simu namba 0717 109362.
Wahi sasa nafasi ni chache!

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.