Mv. Victoria ikipakia gari usiku huu hatimaye kuanza safari yake usiku huu. |
Nao wasafiri walipanda kama ada licha ya baadhi yao kuonekana kuwa na wasiwasi na wengine kuahirisha kabisa safari. |
Ndani ya meli abiria wakitathimini mazingira. |
Saa 3 na dakika 10 meli ya Mv. Victoria inaondoka Mwanza.... kuelekea Bukoba mkoani Kagera. Blogu hii yawatakia safari njema abiria wote. |
Tupe maoni yako
GSENGO CHA AJABU MELI LEO IMEWAHI KUFIKA BUKOBA ,IMEINGIA SAA 1230 WAKATI JTANO ILIINGIA SAA730
ReplyDeleteMISSANA AM
DHL BUKOBA
Duh kazi kweli kweli, labda jamaa alikamia kuifikisha salama kuwaziba midomo ya waliokuwa wakiiombea mabaya. thanx bro kwa taarifa
ReplyDelete