ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Tuesday, February 12, 2013

KUELEKEA VALENTINE MKALI MPYA KUTOKA ROCK CITY, BROWN WA NBA AFYATUA SONGI - RANGI YA MAKOPA

Ni msanii mpya kabisa kwenye medali ya muziki wa kizazi kipya toka jiji la Miamba (Mwanza) anaitwa Brown Wa NBA hapa amemshirikisha T-Nock ndani ya songi lake jipyaaaa liitwalo 'Rangi Ya Makopa'.


Kazi kubwa imefanyika ndani ya studio mpya na za kisasa za K Recods na produza aliyeshikilia mpini anakwenda kwa jina la 'Lollipop'. 

Kijana amepikwa akapikika kwani ana uwezo wa kumiliki stage kwa masuala ya dance kiasi cha kufanya kila jicho ukumbini kuelekezwa kwake mwanzo mwisho awapo stage. Utamsikilizaaaaaa akimaliza shughuli stejini nina uhakika lazima utapiga makofi kwake. Kibiashara tuwasiliane kwa e-mail albertgsengo@yahoo.com 
Sikiliza Enjoy.

Tupe maoni yako

1 comments:

  1. NBA MONEY~Kaka zao 2namkubal xana
    Tnock sasa ndo balaa kabisaaaaaaa

    ReplyDelete

Note: Only a member of this blog may post a comment.