![]() |
| Kidudu mtu kutoka Kanumba 'Yeyo' naye amesafiri hadi jijini la miamba kuungana nasi. |
![]() |
| Yanga ya leo ndani ya CCM Kirumba jijini Mwanza. |
![]() |
| Black Leopards inayoshuka dimbani hivi punde kupepetana na Yanga dimbala CCM Kirumba jijini Mwanza. |
![]() |
| Wasimamizi wa mchezo pamoja na makeptein wa timu zote mbili kabla ya kuanza kwa mchezo dimba la CCM Kirumba jioni hii jijini Mwanza. |
![]() |
| Kocha wa Black Leopards Abel Makhubela akiwa na mblogishaji maarufu nchini Michuzi Jr. ikiwa ni kabla ya mchezo wakati timu zikipiga jaramba. |
![]() |
| Mmeremeto wa Jukwaa la Yanga.... |
![]() |
| Nje ya dimba la CCM Kirumba hii leo. |
Tupe maoni yako








0 comments:
Post a Comment