ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, January 28, 2013

WANAFUNZI WA DARASA LA MUZIKI LA THT WAHITIMU MASOMO YAO

Mwalimu wa Tanzania House of Talent (THT) ya jijini Dar es Salaam, Michael Nkya akitoa cheti cha kumaliza masomo ya muziki pamoja na Sauti (vocal) Ishengoma Mwombeki ambaye ni mlemavu wa macho, masomo hayo yaliyokuwa yakitolewa na THT kwa ajili ya kuwajengea uwezo vijana  juu ufahamu wa Muziki. Darasa hilo la muziki pamoja na Sauti (vocal) lilikuwa likiendeshwa kila mwenzi na Tanzania House of Talent (THT) jijini Dar es Salaam. Katikati ni mwalimu Aidan Magawa ambaye alikuwa akifundisha jinsi ya kutumia Vyombo vya Muziki (Music Instruments). Sherehe hiyo ya kuwaaga ilifanyika THT jijini Dar Jana.

Mwalimu wa Tanzania House of Talent (THT) ya jijini Dar es Salaam, Michael Nkya akitoa cheti cha kumaliza masomo ya muziki pamoja na Sauti (vocal) kwa mwanadada Neema Aggrey, masomo hayo yaliyokuwa yakitolewa na THT kwa ajili ya kuwajengea uwezo vijana  juu ufahamu wa Muziki. Darasa hilo la muziki pamoja na Sauti (vocal) lilikuwa likiendeshwa kila mwenzi na Tanzania House of Talent (THT) jijini Dar es Salaam. Katikati ni mwalimu Aidan Magawa ambaye alikuwa akifundisha jinsi ya kutumia Vyombo vya Muziki (Music Instruments).

Mwalimu wa Tanzania House of Talent (THT) ya jijini Dar es Salaam, Michael Nkya akitoa cheti cha kumaliza masomo ya muziki pamoja na Sauti (vocal) kwa mwanadada Gracesandra Isaac, masomo hayo yaliyokuwa yakitolewa na THT kwa ajili ya kuwajengea uwezo vijana  juu ufahamu wa Muziki. Darasa hilo la muziki pamoja na Sauti (vocal) lilikuwa likiendeshwa kila mwenzi na Tanzania House of Talent (THT) jijini Dar es Salaam. Katikati ni mwalimu Aidan Magawa ambaye alikuwa akifundisha jinsi ya kutumia Vyombo vya Muziki (Music Instruments).

Mwalimu wa Tanzania House of Talent (THT) ya jijini Dar es Salaam, Michael Nkya akitoa cheti cha kumaliza masomo ya muziki pamoja na Sauti (vocal) Guan Fabian, masomo hayo yaliyokuwa yakitolewa  na THT kwa ajili ya kuwajengea uwezo vijana  juu ufahamu wa Muziki. Darasa hilo la muziki pamoja na Sauti (vocal) lilikuwa likiendeshwa kila mwenzi na Tanzania House of Talent (THT) jijini Dar es Salaam. Katikati ni mwalimu Aidan Magawa ambaye alikuwa akifundisha jinsi ya kutumia Vyombo vya Muziki (Music Instruments). Sherehe hiyo ya kuwaaga ilifanyika THT jijini Dar Jana.

Mwalimu wa Tanzania House of Talent (THT) ya jijini Dar es Salaam, Michael Nkya akitoa cheti cha kumaliza masomo ya muziki pamoja na Sauti (vocal) Hawa Lipapapa, masomo hayo yaliyokuwa yakitolewa na THT kwa ajili ya kuwajengea uwezo vijana  juu ufahamu wa Muziki. Darasa hilo la muziki pamoja na Sauti (vocal) lilikuwa likiendeshwa kila mwenzi na Tanzania House of Talent (THT) jijini Dar es Salaam. Katikati ni mwalimu Aidan Magawa ambaye alikuwa akifundisha jinsi ya kutumia Vyombo vya Muziki (Music Instruments).

Mwalimu wa Tanzania House of Talent (THT) ya jijini Dar es Salaam, Michael Nkya akitoa cheti cha kumaliza masomo ya muziki pamoja na Sauti (vocal) Ramadhani Rashid, masomo hayo yaliyokuwa yakitolewa na THT kwa ajili ya kuwajengea uwezo vijana  juu ufahamu wa Muziki. Darasa hilo la muziki pamoja na Sauti (vocal) lilikuwa likiendeshwa kila mwenzi na Tanzania House of Talent (THT) jijini Dar es Salaam. Katikati ni mwalimu Aidan Magawa ambaye alikuwa akifundisha jinsi ya kutumia Vyombo vya Muziki (Music Instruments). Sherehe hiyo ya kuwaaga ilifanyika THT jijini Dar Jana.

Wanafunzi wa darasa la muziki pamoja na Sauti (vocal) wakiwa na walimu wao mara baada ya kupata vyetu vya vya kuhitimu masomo yao.

Wanafunzi wa darasa la muziki pamoja na Sauti (vocal) wakiwa katika picha ya pamoja.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.