![]() |
| Sambamba na kutunukiwa mwanadada Julia Nzwala ambaye ni mshindi wa kwanza Tanzania nzima katika IT ngazi ya diploma alizawadiwa laptop mpya toka uongozi wa chuo cha UCC. |
![]() |
| Burudani nayo ilikuwepo. |
![]() |
| Julia Nzwala akivalishwa taji la asili na baba yake mdogo. |
![]() |
| Watunukiwa wengine waliokula nondo zao chuo cha UCC katika maafali yaliyofanyika hivi karibuni jijini Dar es salaam. |
Tupe maoni yako






0 comments:
Post a Comment