Bwana harusi Prosper Makene na mkwe Marystella Munissy
wakiingia katika ukumbi wa Gedeco, Geita baada ya kufunga pingu za maisha
katika kanisa katoliki la mtakatifu Bikira Maria wa Fatima
lililopo Geita Mkoani Geita juzi. Bwana harusi ni mfanyakazi wa gazeti la The
Guardian na Bibi harusi ni mfanyabiashara.
Bwana harusi Prosper Makene akimlisha keki mkewe Marystella
Munissy baada ya ya kufunga pingu za maisha katika kanisa katoliki la mtakatifu
Bikira Maria wa Fatima lililopo Geita Mkoani
Geita juzi. Bwana harusi ni mfanyakazi wa gazeti la The Guardian na Bibi harusi
ni mfanyabiashara.
Bwana harusi Prosper Makene akiwasalimia ndugu na jamaa
katika ukumbi wa Gedeco uliopo mjini Geita, Mkoani Geita baada ya kufunga pingu
za maisha katika kanisa katoliki la mtakatifu Bikira Maria wa Fatima
lililopo Geita Mkoani Geita juzi. Bwana harusi ni mfanyakazi wa gazeti la The
Guardian na Bibi harusi ni mfanyabiashara.
Bibi harusi Marystella Munissy akipewa dhawadi ya biblia
takatifu na mama mkwe wake Mary Makene baada ya kufunga ndoa na Prosper Makene
katika kanisa katoliki la mtakatifu Bikira Maria wa Fatima
lililopo Geita Mkoani Geita juzi. Bwana harusi ni mfanyakazi wa gazeti la The
Guardian na Bibi harusi ni mfanyabiashara.
Taarifa kwa Umma Kuhusu Ongezeko la Bei za Mafuta.
-
Dar es Salaam, Tanzania
Tunatambua ongezeko kubwa la hivi karibuni la bei za mafuta ambalo
limeongezeka kwa asilimia 33. Kama jukwaa linalolenga kusawaz...
Serikali Yaongeza Muda wa Tume ya Uchunguzi
-
*Na Mwandishi Wetu*
*DODOMA, Aprili 4, 2026 — Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
imetangaza kuongeza muda wa kukamilisha kazi kwa Tume ya Kuchun...
0 comments:
Post a Comment