| Wenyeviti wa mtaa wa kata ya Mbugani (wanaume) na kulia ni Afisa mratibu wa elimu wa kata hiyo wakiwa kwenye kikao na meya wa jiji la Mwanza. |
| Diwani wa Kata ya Mbugani Hassan Kijuu akitoa ufafanuzi juu taarifa ya utekelezaji wa miradi ya kata ya Mbugani kwa Mstahiki Meya wa jiji la Mwanza Stanslaus Mabula. |
| Ndani ya kikao cha Meya, Watendaji pamoja na Wataalamu miradi mbalimbali wa kata hiyo wakisikiliza ufafanuzi toka kwa mtendaji wa kata ya Mbugani. |
| Meya wa jiji la Mwanza Stanslaus mabula akisaini kitabu cha wageni. |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment