![]() |
| Jb Mpiana 'Mukulu' aka Binadamu usiku huu ndani ya himaya ya Villa Park Mwanza anamwaga mvua ya burudani kwa wapenzi wa ngoma za bendi waliojitokeza hapa. |
![]() |
| Simple and clean...kwa wadada wa safu ya unenguaji ya bendi ya Wenge BCBG chini yake Jb Mpiana. |
![]() |
| Wadada wa mwanza hawajasita kumtunza mkali huyu wa ngoma za dance toka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. |
![]() |
| Moto pamba... |
![]() |
| Danico ndiyo wimbo jukwaani sasa.. |
![]() |
| Mashabiki na mtu wao kiunganishi muziki... |
![]() |
| Jb Mpiana 'Mukulu' aka Binadamu na safu yake ya masauti.. |
![]() |
| Wadau walioamua kuwekeza ndani ya usiku huu. |
Tupe maoni yako








0 comments:
Post a Comment