ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Tuesday, December 18, 2012

EDGAR MAPANDE ATUNUKIWA NONDO NAIBU WAZIRI NISHATI NA MADINI AHUDHURIA KUHAMASISHA ELIMU KWA VIJANA NCHINI

Edgar Mapande mara baada ya kutunukiwa pichani akiwa na Naibu Waziri wa Nishati na madini, mbunge wa Shinyanga mjini Mh. Steven Masele ambaye alikuwepo kuweka hamasa ya vijana kuthamini elimu, wengine kulia ni mwenyekiti wa serikali za mitaa eneo la Kunduchi Benedict Tibehenderwa, na kushoto ni bw. John Mbaga ambaye ni CEO wa Bayport Financial Service Ltd ambao nao walihudhulia maafali hayo.  



Edgar Mapande mara baada ya kutunukiwa katika picha ya furaha mara baada ya kutunukiwa Shahada ya Masters Of Science in Marketing kwenye maafali ya 11 ya Chuo Kikuu Cha Mzumbe Kampasi ya Dar es salaam yaliyofanyika ijumaa ya tarehe 14 Disemba 2012.

Mama mkubwa wa Edgar Mapande aitwaye Rhoda j Wasonga akimvalisha taji la maua mwanae mara baada ya kupokea Shahada ya Masters Of Science in Marketing kwenye maafali ya 11 ya Chuo Kikuu Cha Mzumbe Kampasi ya Dar es salaam yaliyofanyika ijumaa ya tarehe 14 Disemba 2012.



Mama mkubwa wa Edgar Mapande,  akimkumbatia mwanae.


Edgar Mapande akiwa na dada yake Oliver J. Ryanna (Mrs Albert Sengo), katika picha ya furaha mara baada ya kutunukiwa Shahada ya Masters Of Science in Marketing kwenye maafali ya 11 ya Chuo Kikuu Cha Mzumbe Kampasi ya Dar es salaam yaliyofanyika ijumaa ya tarehe 14 Disemba 2012.


Picha ya furaha na smile za wadau kwenye maafali ya 11 ya Chuo Kikuu Cha Mzumbe Kampasi ya Dar es salaam yaliyofanyika ijumaa ya tarehe 14 Disemba 2012.


Picha part TWO ya furaha na smile za wadau kwenye maafali ya 11 ya Chuo Kikuu Cha Mzumbe Kampasi ya Dar es salaam yaliyofanyika ijumaa ya tarehe 14 Disemba 2012.


The familly.

Edgar Mapande akipokea zawadi ya maua toka kwa Doreen, kwenye maafali ya 11 ya Chuo Kikuu Cha Mzumbe Kampasi ya Dar es salaam yaliyofanyika ijumaa ya tarehe 14 Disemba 2012.


Ni wakati wa zawadi kutoka kushoto ni Oliver Ryanna, Ibra Gobos, Fatma Kilinda na Edgar Mapande...


Hongera sana Mwanadafada Agnes Mniko.


Mtunukiwa Edgar Jonas Mapande akimlisha keki  Eva Mbaga huku mama wa mtoto huyo Gisele Mbaga akishuhudia tukio hilo muhimu la kumbukumbu.


"Hongera kijana" Says Beatrice Jairo.


Eduze akiwa na dadake Milicent Jesse Bujiku.

Furaha iliyoje kwa madadaz kwenye tukio muhimu la kaka yao.


Mhitimu Bw.Edgar akipokea tuzo ya Best student on the Highest Thesis Marks Of Msc Marketing at Main Campus Morogoro.


Picha ya familia kutoka kushoto ni Mr & Mrs Lushaka, Mr & Mrs Elias Nyamwija, Mrs Rodha Tibehenderwa, Mr & Mrs Malele, Mr & Mrs Reward Mapande na Mr &Mrs Julius Mbaga. 


Mtunukiwa Edgar Jonas Mapande akipata picha ya pamoja na familia ya Bw. John Mbaga (R) ambaye ni CEO wa Bayport Financial Service Ltd, kulia ni mkewe  Gisele Mbaga na mtoto  Eva Mbaga.



Tupe maoni yako

2 comments:

  1. Tеrrific post howеver , I was ωonderіng if you cοuld
    ωrite a litte more on this subject? I'd be very grateful if you could elaborate a little bit more. Cheers!

    Also visit my site; breast enlargement without surgery

    ReplyDelete
  2. Beautiful pics. congrats to the graduates!

    ReplyDelete

Note: Only a member of this blog may post a comment.