ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Sunday, November 4, 2012

MAGIC FM NA DTV WAFUNIKA UWANJA WA JAMHURI DODOMA KATIKA UZINDUZI WAO KWA UDHAMINI WA WINDHOEK BEER

Jukwaani mwenye kipaza kulia ni Msanii Sanura akiwapagawisha mashabiki na mambo ya  Windhoek 

Mambo ya promo katika uwanja wa Jamhuri Dodoma kwenye uzinduzi wa Magic Fm na  dtv.

Wanaonekana Vimwana wa Kinywaji Safi Cha Windhoek wakiwa tayari kuwahudumia Wateja  katka uwanja  wa Jamhuri Mjini Dodoma katika uzinduzi wa Magic Fm na DTV mchana wa leo 3/11/2012.

kikundi cha burudani kikiendelea kuwapagawisha mashabiki walijitokeza hii jana katika uwanja wa Jamhuri Dodoma kwenye uzinduzi wa Magic Fm na  dtv.

kikundi cha burudani kikiendelea kuwapagawisha mashabiki walijitokeza hii jana katika uwanja wa Jamhuri Dodoma kwenye uzinduzi wa Magic Fm na  dtv.

Baadhi ya Watangazaji wa DTV na MAGIC wakifurahi na Windhoek Beer hii leo katika uwanja wa Jamhuri Dodoma.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.