ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Wednesday, November 7, 2012

KIKOSI CHA TAIFA STARS CHATAJWA LEO - KASEJA NDANI: MAARUFU WALIOTEMWA NI BOBAN (NIDHAMU), BAHANUZI (MAJERUHI), REDONDO (KIWANGO).

Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Kim Poulsen leo jumatano ya tarehe 7-nov-2012 ametangaza kikosi cha wachezaji 22 wanaojiandaa kwa mchezo wa kirafiki dhidi ya Timu ya Taifa la Kenya, Harambe Stars mchezo utakaochezwa kwenye dimba la CCM Kirumba Mwanza tarehe 14 mwezi huu.
KIKOSI KIKO HIVI:-

 Kwa mujibu wa katibu mkuu wa TFF Angetile Osiah amesema kuwa Taifa Stars itawasili jijini Mwanza kuweka kambi siku ya tarehe 11 na kuanza mazoezi siku inayofuata jumatatu ya tarehe 12, kisha tarehe 14 (jumatano) itashuka dimbani kuvaana na Harambee Stars, hivyo amewataka wakazi wa Mwanza na kanda ya ziwa kwa ujumla kujitokeza kwa wingi kama ilivyo ada kuisapoti timu ya taifa letu.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.