Mtaalamu wa Ustawi wa mwajiriwa Bw. Doug Bramsem akikazia neno. |
Washiriki wakifuatilia semina. |
Mtaalamu wa magonjwa ya akili kutoka Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kitengo cha magonjwa ya akili, Prof. Gad Kilonzo akizungumzia Ustawi wa Mwajiriwa. |
Mtaalamu wa mambo ya Saikolojia, Bi. Lisa Finke kutoka GIZ akitoa somo katika semina hiyo. |
Mtaalamu wa Ustawi wa mwajiriwa, Dkt. Hilde Basstanie kutoka GIN akitoa somo la ugonjwa wa Ukimwi jinsi ya kujilinda makazini. |
Washikiri wakifuatilia kwa makini semina hiyo. |
Mmoja ya washiriki wa semina hiyo, Bw. James Lwanga kutoka hospitali ya Kadic iliyopo Bukoto, Uganda akielezea mambo mbali mbali yanayofanyika katika jamii nchini kwao. |
Washiriki wakifuatilia kwa makini semina. |
Washiriki wakiwa makini kupata somo. |
Mtaalamu wa Ustawi wa mwajiriwa, Dkt. Hilde Basstanie (kwanza kulia) kutoka GIN akiwa na washiriki wengine wakifuatilia kwa makini. |
Washiriki wakiwa makini kupata somo. |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.