Wasanii wa kikundi cha Makomando kutoka THT wakionesha umahiri wao wa kucheza jukwaa. |
Msaniii mahiri wa kizazi kipya,Barnaba Boya kiimba jukwaani huku Dyana na skwadi lake wakionesha mbwembwe zao kama kawa. |
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Barnaba Boy akiimba jukwaani usiku huu |
Mshindi wa shindano la Serengeti Supa Nyota 2012,Youk Killer wa Mwanza akishusha mistari yake nguvi usiku huu,huku shangwe na vigele vigele vikiwa vimetawala. |
Baadhi ya mashabiki wakijiachia vilivyo usiku huu ndani ya tamasha la Serengeti Fiesta 2012 |
Mmoja wa wshindi wa shindano la Serengeti Supa Nyota 2012,NeyLee akiimba jukwaani . |
Baadhi ya wasanii kutoka nyumba ya vipaji THT wakiamsha amsha usiku huu wakati tamasha la Serengeti Fiesta 2012 likiendelea huku mashabiki na wapenzi wa tamasha hilo wakiendelea kumiminika usiku huu ndani ya viwanja vya Lidaz Club,jijini Dar.
Mmoja wa wasanii chipukizi kutoka kwa THT,akiimba kwa hisia mbele ya umati mkubwa wa watu (haupo pichani),uliojitokeza kushuhudia wasanii wa hapa nyumbani na nje wakitumbuiza katika jukwaa moja usiku huu.
Mmoja wa wasanii chipukizi akinogesha jukwaa la Serengeti Fiesta 2012 usiku huu
The Wacko Jako wa bongo akifanya vitu vyake jukwaani usiku huu
Baadhi ya wakazi wa jiji la Dar na vitongoji vyake wakiwa tayari ndani ya viwanja vya Lidaz Club,Kinondoni jijini Dar usiku huu wakati wa tamasha la Serengeti Fiesta likiendelea kurindima,huku wakimsubiri kwa hamu mwanamuziki wa Kimataifa kutoka nchini Marekani,Rick Ross ambaye anatarajia kukamua usikuu huu.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.