ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Friday, October 12, 2012

WADAU WA AIRTEL WAJITOKEZA KUKAGUA MAGARI YAO KWAAJILI YA USALAMA BARABARANI


Askari wa usalama barabarani Meja Anthony Mjema  akikagua gari la mfanyakazi wa Airtel bwana Herald Mwigune wakati Airtel ilipoendeleza juhudu zake za usalama barabarani kwa vitendo kwa kuwezesha magari ya wafanyakazi wake kukaguliwa na kupata sticker za usalama barabarani. Zoezi hilo limefanyika katika makao makuu ya Airtel Morocco.

Askari wa usalama barabarani Meja Anthony Mjema  akikagua gari  wakati Airtel ilipoendeleza juhudu zake za usalama barabarani kwa vitendo na kuwezesha magari ya wafanyakazi wake kukaguliwa na kupata sticker za usalama barabarani. Zoezi hilo limefanyika katika makao makuu ya Airtel Morocco. Pichani Mfanyakazi wa Airtel bwana Herald Mwigune

Askari wa usalama barabarani Meja Anthony Mjema  akitoa maelezo na ufafanuzi kwa mfanyakazi wa Airtel bi Clara Kizinga juu ya vyombo vya moto wakati wa zoezi la ukaguzi wa magari lililofanyika katika makao makuu ya Airtel Morocco. Zoezi hilo ni mwendelezo wajuhudi za Airtel katika kuhakikisha usalama barabarani unazingatiwa.

Askari wa usalama barabarani Meja Anthony Mjema   akiandika sticker za usalama barabarani mara baada ya kuyakagua magari wakati Airtel ilipoendeleza juhudu zake za usalama barabarani kwa vitendo na kuwezesha magari ya wafanyakazi wake kukaguliwa na kupata sticker za usalama barabarani. Zoezi hilo limefanyika katika makao makuu ya Airtel Morocco. Pichani Mfanyakazi wa Airtel. Pichani ni wafanyakazi wa Airtel Lilian Kibiriti na Abdul Mbuyu

Askari wa usalama barabarani Meja Anthony Mjema   akibandika sticker ya usalama barabarani  katika gari ya mmoja wa wafanyakazi wa Airtel bwana Abadallah Gunda  mara baada ya kukalikagua , hii ni moja kati ya mwendelezo juhudu za Airtel kwa kutekeleza usalama barabarani kwa vitendo na kuwezesha magari ya wafanyakazi wake kukaguliwa. Zoezi hilo limefanyika katika makao makuu ya Airtel Morocco, nyuma ni baadhi ya wafanyakazi wa Airtel wakisubiri kukaguliwa

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.