The Making Of New Criss Wamarya Flex "KILOMETA 6"
"Huu Ni Muendelezo Wa Project Ya Criss WaMarya Baada "Tutoke Na Kilometa6 Kufanya Vizuri Katika Vituo Mbali Mbabi Vya Habari !!!
Kutokana Na Maoni Ya Watu Wengi Kunitaka Nifanye ReMix Ya KM6!! na Kuzidi kuonesha uwezo wangu katika sanaa Nimefanikisha Kulifanya Suala Hilo Hivyo Nawaambia Mashabiki Wangu Wote.
Wakae Mkao Wa Kula Kwani Mpishi Ndo Anakaribia kukileta mezani.Ila sio wimbo huo tu ila kwa sasa na Project nzuri ambazo naitaji kuziachia hivi karibuni,kuna video ya Tutoke na pamoja na Wimbo wangu mpya hukiwa na video yake,kwani ata hivo napenda kusema kuwa wimbo ulio fanya na Studio kubwa sana iliyo wafanya wasanii wengi kufanya vinzuri.Nathani ni mapema sana kuyaongelea hayo.Ila kwa sasa nitapenda huone jinsi gani kipaji changu kilivo.........
Thanx!!
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.