Mkurugenzi wa Clouds Media Group Joseph Kusaga akitoa Cheti cha Ushiriki bora kwa wadhamini wa mafuta vyombo vya barabarani GAPCO walioshiriki vyema Tamasha la Serengeti Fiesta 2012. |
Kisha zikafuata shukurani za dhati kutoka kwa Mdhamini mkuu zilizotolewa na Mkurugenzi wa Masoko bia ya Serengeti Ephaim Mafuru. |
Msanii mahiri mwenye mbwembwe za kila aina Juma Nature akimwimbia Mtangazaji wa kipindi cha Jahazi Wasiwasi Mwabulambo 'aaaah ... naye alicheza siutani' |
Top in Dar, You can call him TID naye alipata fursa kutoa shukurani zake katika usiku huo maalum wa marafiki kukutana ndani ya Escape Two. |
Hip hop thing' |
Mchekeshaji maarufu nchini Tanzania toka kundi la Vuvuzela Entertainment, Bukuku (katikati) akiwa na wadau. |
The Crew. |
Watu waliunyuka..... |
Wawo.... |
Men.... |
Ni Dr. Isaack, Fid Q na mie. |
Ze Crew... |
Shine.... |
Producer wa Clouds Tv Mr. Mebb. |
Dj Mayanga on the one and two. |
Fun moment ni Madee, Chege, Morgan na Wasiwasi. |
Good. |
Wanyama.... |
Inshort kila kitu kili shine usiku wa jana... Shukurani kwa Primetimes Promotion kwa kutukutanisha, Serengeti Premium Lager, GAPCO, PEPSI na Precission Air kwa udhamini. |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.