Mchungaji wa kanisa la Anglican akiongoza ibada ya mazishi ya marehemu Elisha Paul aliyefariki tarehe 4/09/2012 katika hospitali ya wilaya ya Misungwi mkoani Mwanza. |
Watu wa karibu na marehemu Elisha Kulwa ambaye ni mmoja kati ya vijana wanaharakati walifurika na kuhudhuria mazishi hayo yaliyofanyika kijiji cha Misasi wilayani Misungwi mkoani Mwanza. |
Dada wa marehemu akitoa heshima zake za mwisho kwa mwili wa kaka yake. |
Wingu zito la majonzi lilitanda kwa ndugu jamaa na marafiki waliofika kwenye safari ya mwisho ya marehemu Elisha Kulwa. |
Hali ilikuwa tete kwa ndugu zake wa karibu. |
Safari kuelekea makaburini... |
Mwili katika ibada kuilaki nyumba yake ya milele. |
Picha ya pamoja kwa familia makaburini. |
Sister Rodha Ndamanyhilu katikati akiwa na ndugu wakaribu wa marehemu Elisha Kulwa. |
Na gari letu la homu.."Furahini katika bwana tena nasema furahini" |
Mr & Mrs Isaac Ndamanyhilu wakiwa na watoto wao kwenye shamba la familia ambako ndiko alizikwa marehemu mpendwa wao Elisha Paul ambaye ni mdogo wake bw. Isaac. |
Mie na katotoo na kwa chati ni my sis Rodha. |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.