![]() |
| Nanunua mzigo nami chomboni ni wafanyabiashara eneo la stand ya tax na daladala mbele ya lango kuu soko kuu Mwanza. |
![]() |
| Chambo kwaajili ya kuvulia samaki anasakwa ndani ya mfereji mkuu wa maji eneo la Kirumba. |
![]() |
| Mpango wa jiji safisha mitaro ya eneola barabara ya soko la Kirumba inaendelea. |
![]() |
| Zoezi hili linafanyika leo jumamosi. Swali ni jeh! vifusi hivi vya mchanga na taka vitaondoka kwa muda sahihi? ngoja tuone endelea kufuatilia.... |
![]() |
| Ni biahsra katika eneo la Kamanga Ferry jijini Mwanza. Ramadhani hii imeangukia msimu wa mavuno, Alhamdulilah neema ya Mwenyezi Mungu imetumwagia. |
![]() |
| Unaiju hii kitu ya Nyahindi? |
| Tofauti na miaka ya nyuma ambapo ukionekana kuokota makopo utawekwa kwenye kundi la watu wenye akili fulani but now days ni dili tena linalowahusisha wenye akili zao watengenezao fedha. |
| Jamaa huyu muuza fagio yu mkarimu saana kwa wateja wake na ana lugha ya mvuto kwa biashara aliniambia jina lake any wayz wanaojua watanikumbusha.... |
Tupe maoni yako







0 comments:
Post a Comment