Jumuia ya Kiislamu DMV Wafutarisha Pamoja na kuwaombea Dua Jamaa wote waliotangulia mbele ya Haki!
Tanzanian Muslim Community Washington Metropolitan (TAMCO) jana Jumapili katika Mwenzi mtukufu wa Ramadhani wafutarisha pamoja na kuwaombea Dua Jamaa wote waliotangulia mbele ya haki.
Waumuni wakiwa kwenye kisoma pamoja na futari hiyo ilifanyika katika ukumbi wa Hillandale Local Park New Hampshire Avenue, Silver Spring Maryland. Siku ya Jumapili Aug 5, 2012
Sikiliza kwa Makini (Audio) ya Kisomo pamoja na Mawaidha ya Bwana Omar kutoka Philadelphia kwa Audio Bofya hapa Hapa
Picha zote na http://www.swahilivilla.blogspot.com/
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment