| Mtangazaji wa Clouds Fm Adamu Mchomvu, akiyaendeleza mastori ndani ya kitaa cha Taili tatu eneo la Magaoni, Kata ya Mabawa, Tanga. |
| Mwanadada Loveness Love akiwa na Gossip Cop Tz, Sudi Brown. |
| ...Wakionyesha umahili wao wa kunwaga. |
| ... aha... mimi ni msela siwezi kwenda jela... |
| ... vijana walijitahidi kuonyesha umahili wao wa kuchana michano. |
| ... Clouds Tv nayo haikukosa. |
| Rasi akionyesha umahili wake wa kuimba rege. |
| Adamu Mchomvu akisababisha mambo. |
| Gossip- Cop Tz Sudi Brown akiwa katika pozi. |
| Mazungumzo ya mtaani yakiendelea. |
| Mtangazaji wa Clouds Fm Adamu Mchomvu na Mwanadada Loveness Love. |
| Producer wa Home record ya Tanga nae akimwaga madini. |
| Show Love ikiendelea. |
| Aha! Mzee wa Habari na Matukio (Kajunason Blog) akiwa na Adamu Mchomvu wakiwakilisha na chama la watoto wa Tanga. |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment