ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, August 13, 2012

BONDIA WA KIKE, LULU KAYEGE AJIFUA KUMKABILI MPINZANI WAKE



Kocha wa Mchezo wa ngumi Kambi ya Ilala Habibu Kinyogoli akimfundisha bondia chipkizi wa kike,Lulu Kayege Dar es salaam leo  .kwa ajili ya kujiandaa na mipambano yoyote itakayoshirikisha wanamasumbwi wa kike.


Kocha wa Mchezo wa ngumi Kambi ya Ilala Kondo Nassoro akimfundisha bondia chipkizi wa kike,Lulu Kayege Dar es salaam leo kwa ajili ya kujiandaa  na mashindano ya kumi bora yatakayofanyika june 15 katika ukumbi wa panandi panandi Ilala Bungoni Dar es salaam.


Bondia wa kike,Lulu Kayege akiwa katika pozi bondia huyo  anaenolewa katika Kambi ya Ilala na Makocha wazowefu wa mchezo wa Masumbwi Nchini Habibu Kinyogoli 'Masta, Rajabu Mhamila 'Super D' na Kondo Nassoro kwa sasa yupo fiti kwa ajili ya masindano mbalimbali nchini www,superdboxingcoach.blogspot.com

 
Na Mwandishi Wetu Kambi ya Ilala

BONDIA wa Kike Lulu Kayage yupo katika mazoezi mazito katika kambi ya ngumi ya Ilala Inayuongozwa na Kocha Mkongwe Habibu Kinyogoli 'Masta' na Kocha wa kimataifa wa Mchezo wa Masumbwi Nchini Rajabu Mhamila 'Super D' pamoja na Kondo Nassoro na Sako Mtlya

Akizungumzia mchezo wa masumbwi ulivyomfutia mpaka kuasnza mazoezi katika kamhi hiyo aslisema chezo anaupenda na pia unamjenga kiafya na ki mwili kwani amekuwa akishiriki mazoezi tangia mwezi April mwaka huu na maendeleo yake ni mazuri akiwa chini ya uwangalizi wa makocha wake hawo

Bondia huyo wa kike aliyezaliwa 1990 anamatarajio makubwa ya kuwa bingwa wa dunia katika masumbwi hususani upande wa wanawake. 

Bondia huyo anaye vutiwa na uchezaji wa mkongwe wa masumbwi nchini Rashidi Matumla 'Snake Man'  ambapo kwa nje anavutiwa na mabondia tofauti ambapo mmoja wapo ni Mbunge wa Filpino Manny Paquaio na bondia asiyepigika ambaye kwa sasa anatumikia kifungo cha siku 90 kwa kosa la kumshambulia aliyekuwa mpenzi wake na mama watoto wake.

 Katika mazoezi anayofanya na kambi ya Ilala ambayo wanawake wapo wawili ambapo anaendelea kujisikia faraja kwa kuwa wapo katika mazoezi pamoja kama ndugu na nidhamu ya ali ya juu iliyopo hapo katika kambi hiyo

Amewataka wanawake kujitokeza katika masumbwi kwani ni mchezo kama michezo mingine ambapo hata ukiangalia mchezo watu wanapopigana wakimaliza wanakumbatiana kwa furaha ni kwa ajili ya kutambua mchezo wa masumbwi si uadui bali ni mchezo


Vikwazo ambavyo amewahi kukutana navyo ni pamoja na kukatishwa tamaa na watu ambao hawapendi michezo kwani wanasema mwanamke mzima unacheza ngumi huogopi kutolewa manundu kuaribiwa sura ehee uzuri wote huo hizo ni sehemu tu za kauli za watu wasiopenda michezo.

"Kwa mara ya kwanza nilipotokea kwenye magazeti tu watu walinifuata na kunishauri niachane na mchezo lakini kwa sasa nimeshaiva na nipo tayari kwa mapambano mbalimbali yatakayojitokeza" alisema Lulu.

"Kwa kuwa mimi ni bondia bora pekee wa kike nchini na ninaetoka katika kambi bora kabisa ya mchezo wa masumbwi nchini nahisi cheche zangu mtaanza kuziona mwezi agosti kwa kuwa kwa sasa nipo kwenye mazoezi makali ambayo yananipa uwezo wa ali ya juu katika masumbwi" 

Aliongeza kuwa kwa kufundishwa na kocha wa kimataifa Super D anayefundisha  kupitia DVD zake ambazo  amechanganya na clips za mabondia mabingwa wa dunia akiwemo Manny Paquaio,floyd Mayweather, Roy Jones, Mohamedi Ali, Mike Taysoni na wengine ameziona na kuzifanyia kazi ambapo kwa sasa anajua mbinu za Ndani na nje ya nchi kutokana na Supe D kumpatia uwezo wa kina katika maswala ya mchezo wa Masumbwi Duniani

Katika mchezo huu siwezi kukata tamaa katika mazoezi na nawambia mashabiki wa mchezo wa masumbwi watarajie mafanikio yangu katika masumbwi.

Tupe maoni yako

8 comments:

  1. Outstanding quest there. What happеneԁ afteг?
    Thanκs!

    Feel fгeе to suгf to my homepage -
    payday loans

    ReplyDelete
  2. Appreciating the dedіcatіon yοu
    put into yоuг sitе and detailed informatіon уоu offer.
    It's good to come across a blog every once in a while that isn't the ѕame unwantеd гehashed material.
    Great read! I've bookmarked your site and I'm adding your RSS feeds to my Google acсount.


    Here іs my weblog - instant payday loans
    Also see my webpage :: instant payday loans

    ReplyDelete
  3. I think thе admin of thiѕ webѕite is in fасt woгkіng
    haгd in faѵοг οf hіs sitе,
    fоr the гeаson that here eνеrу datа iѕ quality based
    matеrial.

    My ѕitе; payday loans no credit check

    ReplyDelete
  4. Hі thеre, ϳuѕt changеԁ into alert to yοur weblog via Google, аnd
    found thаt it's really informative. I am going to be careful for brussels. I'll be gratеful if you pгoceеԁ this in future.

    Lots of other folκs can bе benefited οut of your writing.

    Сheеrs!

    Ηere is my blog рost - same day loans

    ReplyDelete
  5. I'll right away take hold of your rss feed as I can not find your e-mail subscription link or e-newsletter service. Do you've any?
    Please allow mе rесognize in order thаt I mаy subscribе.
    Thanκs.

    my web blog; payday loans

    ReplyDelete
  6. Fabulous, what a webѕite it іs! This wеb site ρrеsentѕ vаluable information to us,
    κeep it up.

    my webpage: Payday Loans

    ReplyDelete
  7. Your waу of ԁеscribing the whole thing іn
    thіѕ pieсe of wгіting is іn fact ρleasant, eνery οne сan effoгtlessly be awarе
    of it, Thanks a lot.

    My web sitе Same Day Payday Loans

    ReplyDelete
  8. Ι am гegular rеaԁer, how are you еverybody?
    Thіs pіece of writіng posteԁ
    at this web page is actuаlly nicе.

    Alѕo visit my homepаge payday loans

    ReplyDelete

Note: Only a member of this blog may post a comment.