Mwezeshaji wa mafunzo ya habari za biashara na uchumi Bw. Mnaku Mbani akitoa maelezo juu ya uandishi wa habari za Biashara na Uchumi, mafunzo yanayofanyika katika ukumbi wa Nyakahoja jijini Mwanza. |
Waandishi wa habari mkoa wa Mwanza wamepatiwa mafunzo
ya uandishi wa habari za biashara na uchumi ili kuifanya jamii kupata uelewa zaidi kuhusu masuala mwelekeo wa taifa.
Akitoa elimu hiyo, muwezeshaji wa mafunzo hayo Bw.
Mnaku Mbani amesema lengo la semina hiyo ni kuwanoa wanahabari nchini
kuwa na uelewa katika masuala ya uchumi.
Mbani amesema hatua hiyo imekuja kutokana na waandishi
wengi kutojikita katika uandishi huo wa habari za biashara na uchumi na hivyo
eneo hilo kutotendewa haki licha ya kuwa muhimu.
Baadhi ya washiriki kutoka kushoto ni Chonya Libe Mathias, Albert G. Sengo, Levocatus Musese na Florah Magabe. |
Engo ya washiriki kushoto ni Florah Magabe, Anastazia Fredy na kwa chati aliyegeuza uso ni Maria wa Kwaneema Fm. |
Jumla ya waandishi 19 wamehudhuria mafunzo hayo yanayotaraji kumalizika siku ya alhamisi. |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.