ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, July 30, 2012

MWANZA YAWEKEZA KUJIIMARISHA KATIKA USAFI

Moja kati ya magari ya kampuni hiyo ya uzoaji taka jijini Mwanza.
 Kampuni ya EC Protection Tanzania LTD West Management ambayo imeshinda zabuni ya kuzoa taka za kila aina kwenye jiji la Mwanza ikiwemo maji taka tayari imeleta vitendea kazi vyake kwaajili ya kuanza rasmi shughuli za usafi kwa jiji hilo mabingwa wa usafi kwa mwaka wa saba mfululizo.

Moja kati ya magari ya kisasa kwa uzoaji maji taka yakiwa tayari jijini hapa kwaajili ya kuanza kazi.
Ujio wa kampuni hiyo kwenye jiji la Mwanza na Manispaa ya Ilemela ni kielelezo tosha kwamba ule Ushindi wa usafi utaendelea kudumu katika jiji hilo la miamba.
Maelezo zaidi yatakuja kupitia blogu hii ikiwa ni pamoja na mahojiano na Mkurugenzi wa Kampuni ya EC Protection Tanzania Ltd West Management Bwana Edmund Hazal.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.