Afisa Uhusiano na Matukio wa Airtel Dangio Kaniki (kulia) akiwakabidhi fedha taslim
wanawake wa Dar Indian Women Association (DIWA) kwa ajili ya kuchangia mfuko wa
kuwasaidia wanawake hao ambao wanajishughulisha na shughuli za kusaidia wanawake
mbalimbali hapa nchini.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.