ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Friday, July 20, 2012

MASHINDANO YA FA WILAYA YA ILEMELA KUANZA KUTIMUA VUMBI KESHO MWANZA



Mkuu wa wilaya ya Ilemela Mh. Amina Masenza anatarajiwa kufungua mashindano ya ligi ya soka FA kwa wilaya hiyo yatakayoanza kutimua vumbi kesho kwenye dimba la CCM kirumba jijini Mwanza.

 Kwa mujibu wa Katibu wa Chama cha soka Wilaya ya Ilemela Juma Msaka amesema kuwa timu zitakazoshiriki michuano hiyo ni zile zote zenye usajili unaotambulika na msajili wa vyama vya vilabu vya michezo nchini na timu ambazo hazina usajili kwani michuano hiyo ya FA haina kanuni ya kukataza timu zisizosajiliwa kushiriki michuano hiyo.....

Katibu mkuu wa chama cha soko wilaya ya Ilemela James Msaka (katikati) akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani..
    
Taarifa zaidi bofya hapa kusikiliza.


Mdau wa IDFA akionyesha Tshirt za mashindano.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.