Wema Sepetu akipozi kwa picha mara baada ya kukaa kabla ya kuanza kuchezwa kwa Demo ya filamu hiyo usiku huu kwenye hoteli ya Hyyat Kilimanjaro. |
Wageni waalikwa mbalimbali wakishuhudia uzinduzi wa filamu ya Super Star iliyochezwa na mwana dada Wema Sepetu kwenye hotli ya Hyyat Kilimanjaro |
Hali ukumbini wakati wa uzinduzi wa filamu Super Star ya Wema Sepetu aliyoizindua kwenye hotel ya Hyyat Kilimanjaro jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo ikihudhuriwa na watu maarufu pamoja na wanamuziki na waigizaji.
Mtangazaji wa XXL B12 na friendz
Kutoka shoto ni Mange Kimambi, Wema Sepetu na Miriam Odemba
Omotola na makaribisho ya burudani.
Mtangazaji wa XXL B12 na friendz
Kutoka shoto ni Mange Kimambi, Wema Sepetu na Miriam Odemba
Omotola na makaribisho ya burudani.
Wanamzuiki, watangazaji pamoja na waigizaji mbalimbali wa filamu walihudhuria katika uzinduzi huo kutoka kulia ni Charles Baba wa Mashujaa Band, Hatman, Mtangazaji Benny Kinyaiya, Mchekeshaji Steve Nyerere, Muigizaj Ramond Kigosi, mwanamuziki Barnaba na Richie Mtambalike "Rich Rich" wakishoo Love.
Mwanamuziki Mwinyi ambaye ndiye aliyemvisha pete ya Uchumba Wema Sepetu katika filamu hiyo naye alikuwepo kwenye uzinduzi huo.
The area
Waigizaji mbalimbali wakiwa katika uzinduzi huo
Kundi la THT likifanya vitu vyake katika uzinduzi huo
Ankal Michuzi na maiwaifu wake kulia na rafiki yao wakipozi kwa picha
Kutoka kulia ni Asma Makau, Dina Marios, Moonshine na Janet wakiwa katika pozi kwenye uzinduzi huo.
Kwa hisani ya Full Shangwe.
Kwa hisani ya Full Shangwe.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.