Tupe maoni yako
“Waliojaribu kufanya mapinduzi kukiona cha moto” – Rais wa Benin
-
Rais wa Benin, Patrice Talon, ameonekana kwenye televisheni kwa mara ya
kwanza baada ya jaribio la mapinduzi la Jumapili, akisema hali sasa iko
shwari na w...
29 minutes ago




Wako makini sana napia hata ukiwabeba wanahimiza kupunguza mwendo tofaut na sisi wanaume tunaosisitiza kuongeza supidi
ReplyDeletekanisikitisha sana hii picha ya mwisho huyu ,mama na pikipiki wake hawako sawa kiakiri wamemuweka mtotonyuma eti hiyo seat yenyewe imefungwa na kamba dis is stupid nimeumia sana as a mama
ReplyDelete