ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Wednesday, June 13, 2012

VILLA PARK RESORT KUSHEREHEKEA MIAKA MITANO

Mpango mzima unaanzia siku ya Alhamisi ya kesho trh 14 juni 2012 katika usiku wa Mirindimo ya pwani aka Taarab mwanamuziki Jokha Kassim akiambatana na Khanga Moko kutoa burudani.
Ijumaa katika usiku wa Wanavyuo Dj PQ na Dj Mafuvu kukisanukisha kama mpambano dizain'
Jumamosi hapa Msondo hapa Sikinde hapa Super Kamanyola na kule Disco kabambe.
Jumapili ni fainali ya mpambano kati ya Msondo, Sikinde na Super Kamanyola.  

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.