Wakati wabongo wengine
nchini wanavaa viatu vya kuanzia laki moja kwenda juu, wengine wanatembea peku mpaka
miguu inaota magwambala aka machacha yenye kukuwezesha hata kuficha sarafu.. Kabla ujajiuliza kuhusu hatma za vyandarua na mashuka vipi kama utalala mzungu wa nne na ndugu huyu kisha ikatokea akapitisha kwa bahati mbaya unyayo wake usoni kwako yaaani ile raaaa!! (ya kuparura) uTajisIKiAJE?
Tupe maoni yako
Kaka huyo mtu anapatikana wapi?Na anavaa viatu size Gani?Ningependa kumtafutia viatu kama naweza kupata maelezo zaidi.Ubarikiwe.
ReplyDelete