Rukia akitaabika na maumivu. |
hali ya mtoto ni mbaya, na kwa juhudi zangu, za Mwenyekiti wa Lindi Press Club Abdulaziz na ndugu Victor aliye Ruangwa tunakusanya michango popote ili kunusuru maisha ya mtoto huyu.
Tunaomba kila mwenye mapenzi mema, atume mchango wake, kwa wafuatao kwangu 0756219342/0713235592 au Abdulaziz 0716-483532 au Victor 0715-754494.
Hadi sasa
tumepata fedha kidogo ambazo leo zimetumika kumsafirisha kwa shida kubwa mtoto
huyo na wazazi wake kwenda hospitali ya misheni ya Nyangao ambako amelazwa
katika wodi namba 3, kitanda namba 2, lakini tumeshauriwa kumpeleka hospitali
kubwa zaidi kwani hali yake sio nzuri.
Tunachangie kwa chochote. Huyu ni mtoto wetu sote
Tunachangie kwa chochote. Huyu ni mtoto wetu sote
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.