ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Sunday, June 10, 2012

TAIFA STARS YAIKUNG'UTA GAMBIA 2-1

Mchezaji wa timu ya taifa Taifa Stars Mrisho Ngasa akichuana vikali na mchezaji wa timu ya Gambia The Scorpions wakati timu hizo zikichuana katika mchezo wa kuwania kufuzu kushiriki fainali za kombe la Dunia zitakazofanyika nchini Brazil, mchezo huo unafanyika kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam, hivi sasa mpira umekwisha Taifa Stars ikiifunga Gambia magoli 2-1 na kujipatia pointi zake tatu za mwanzo, Magoli yamefungwa na wachezaji Shomari Kapombe Waziri Salum aliyefunga kwa njia ya penati baada ya mabeki wa timu ya Gambia kuunawa mpira katika eneo la hatari.

 Timu zikienda mapumziko.

Madaktari wakimtibu Mrisho Ngasa mara baada ya kuumia katika mchezo huo.

 Kikosi cha timu ya Taifa la Tanzania

Kikosi cha timu ya Taifa ya Gambia.
Picha na Full Shangwe.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.