Marehemu Rehema Kayungi |
KUNA HABARI ZA KUSIKITISHA KWAMBA KUNA
MBONGO AMEFARIKI HUKO ARIZONA NCHINI MAREKANI ANAEJULIKANA KWA JINA LA REHEMA KAYUNGI.
CHANZO CHA KIFO CHAKE BADO HAKIJAJULIKANA.
TUNAPENDA KUOMBA USHRIKIANO WAKO ENDAPO UNAFHAMU NDUGU WA MAREHEMU WALIPO NA
KUWAFIKISHIA UJUMBE HUU MUHIMU SANA.
INASEMEKANA ANA KAKA YAKE ANEISHI ARUSHA
(JINA HALIFAHAMIKI).
NA KWA WALE MLIOKO HUKO PIA TUNAOMBA MJARIBU KUTAFUTA NJIA
ZA KUPATA HABARI ZAKE NA KUZIKIFISHA ZINAPOTAKIWA, MWILI WAKE UPO MOCHWARI HUKO
ARIZONA CITY!
ALIKUWA HANA MAWASILIANO NA WABONGO KABISA, SO TAFADHALINI MSITIRINI MWENZETU HUYO.
ALIKUWA HANA MAWASILIANO NA WABONGO KABISA, SO TAFADHALINI MSITIRINI MWENZETU HUYO.
HABARI HIZI KWA KWA MUJIBU WA DADA
KHADIJA ANEISHI HUKO ARIZONA!!! PLEASE HELP IF YOU
CAN!!!
TUTAZIDI KUWALETEA HABARI
ZAIDI KADRI TUTAKAVYO KUWA TUNAZIPOKEA.
TUNAPENDA KUTOA POLE KWA
WAFIWA WOTE, MWENYEZI MUNGU AWATIE NGUVU KATIKA KIPINDI HIKI
KIGUMU.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.