Mashabiki wa Manchester City wakishangilia ushindi Ligi kuu ya Uingereza baada ya kuifunga Queens Park Rangers 3-2, jumapili ya May 13, 2012. |
Edin Dzeko alifunga bao la kusawazisha katika dakika za lala unono kabla ya Sergio Aguero kuifungia timu hiyo goli dakika nne za nyongeza lililowafanya kunyakua kombe hilo baada ya kulisotea kwa takribani miaka 40.
Sergio Aguero katikati ya ngome ya QPR |
City's long suffering fans invaded the pitch at full-time as a thrilling and unpredictable Premier League season reached its climax after the closest title race for over 20 years.
First place has fluctuated between the Manchester clubs all season with United top until the beginning of October before City went ahead until the start of March.
United then opened up an eight-point lead by Easter time but that evaporated after an erratic run and City went back to the summit on goal difference on April 30 when they beat United 1-0 at the Etihad.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.