
Wavuvi na abiria wasafiriao mitumbwi na boti wametahadharishwa kuondoka kabisa maeneo ya pwani ili kuepuka balaa lolote linaloweza kujitokeza kwani 'heri ya kinga kuliko tiba'
Katika hatua nyingine safari zote katika bahari ya Hindi kutoka au kuelekea visiwani Zanzibar zimesitishwa kwa muda hadi kesho saa mbili asubuhi kwaajili ya sababu za kiusalama huku wananchi wakipewa taarifa ya kutopata hofu juu ya hatma yao.

Mapema leo yametokea matetemeko makubwa mawili ya kipimo cha Ritchter 8.3 na 8.6 huko Aceh Indonesia ambapo tahadhari ya kutokea kwa Tsunami imeshatolewa na wakazi katika mwambao wa Bahari ya Hindi hasa majira ya saa 1 usiku hadi saa 3 usiku wa leo wametakiwa kuchukua tahadhari.
Experts said a tsunami wave had been produced, but there were no reports of damage and it remained unclear how big the wave would be.
Area prone to volcanic and seismic activity
Indonesia straddles a series of fault lines that makes the vast island nation prone to volcanic and seismic activity.

Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.