Wasi Wasi Mwambulambo wa Clouds TV akiitambulisha sehemu ya crew iliyoifanikisha kwa kiasi kikubwa tamthilia ya 69recordsseasonII,ambapo kwa maelezo ni kwamba tamthilia hiyo itakuwa ikirushwa CloudsTV pamoja na kwenye DSTV.
Mmoja wa wasanii mahiri wa muziki wa kizazi kipya H-Baba akitumbuiza kwenye hafla hiyo.
Msanii mwingine anayetikisa anga ya muziki wa Bongofleva,Ommy Dimpozz akiimba mbele ya wageni waalikwa (hawapo pichani) usiku huu.
Mmoja wa wasanii mahiri wa Filamu hapa nchini,ambaye binafsi namkubali sana,Jacob Steven a.k.a JB akitoa maneno machache ya kuisifia kazi nzima ya iliyofanywa ndani ya tamthilia ya 69RecodsseasonII.
Msanii Queen Doreen ambaye ni miongoni walioigiza kwenye tamthilia ya 69Recods, wakijitambuliza, nyuma yake ni wasanii waliogiza kwenye tamthilia hiyo
”Rasmi Soko Kuu la Manispaa ya Bukoba lavunjwa”
-
Soko Kuu la Manispaa Bukoba limevunjwa ili kupisha ujenzi wa soko jipya la
kimataifa unaotarajiwa kuanza muda wowote.
Kwa Wakati tofauti wameonekana Wafa...
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.