Ni lakairo Hotel Mwanza nimeamua kuzima flash kuipata taswira ya jicho la kawaida bila msaada wa mwanga. 'Aplifaya team' ina room zake hapa. Taa bustanini...
Hapa swadaktar... Mjengo kwa nyuma... Full mjengo katika engo.
ENDORO WATER FALLS, MAAJABU MENGINE NGORONGORO
-
Mbaraka Mwinshehe aliwahi kuimba akiisifia Morogoro na jinsi maji
yanavyotiririka kutoka milimani.
Mwinshehe angekuwa hai pengine angefika maporomoko ...
0 comments:
Post a Comment