Mtunzi wa mashairi ya kusisimua mwanamuziki toka nchini Tanzania Mrisho Mpoto aka Mjomba hakuwa nyuma, naye kaandika hivi kuhusu Tido kupitia Jukwaa la Wanamabadiliko:-
"Hongera sana Mwananchi kwakweli Kichwa Kama kile kupotea ingekua matumizi Mabaya ya raslimali watu katika Nchi Tajiri Kama Tanzania"
Mrisho Mpoto.
Mrisho Mpoto.
Tupe maoni yako
Kiukweli hata mie nilikuwa sielewi mantiki halisi kwa kile kilichotajwa hata kumng'oa bro Tido pale TBC 1, jamaa watajuta aliibadilisha sana mfumo wa pale, any ways kila jambo linasababu kutokea wacha maisha yasonge na uwe wakati wa wengine kufaidi matunda ya elimu ya Tido ila naomba nitabiri: Soon Mwananchi itakuwa na Radio pamoja na Television yake mtanambia.
ReplyDeleteNi hayo tu!