Charles Katulanda (katibu), Richard Mabala (mwenyekiti), Ismail, G.Sengo, Mrisho Mpoto .
Katibu wa Jukwaa la Wanamabadiliko Fredrick Katulanda akitoa maelezo ya mikakati na historia ya jukwaa hilo.
Nishani ya utambulisho wa jukwaa ikipokelewa mbele ya wanakamati.
Michezo ni urafiki kabla ya Uzinduzi kiclichezwa kipute cha soka kati Wanamabadiliko Fc na wenyeji wa kisiwa cha Utalii Rubondo Fc, hadi mwisho ngoma droo 0-0.
Fair play' mchezaji wa Wanamabadiliko akitoa msaada kwa mchezaji aliyeumia wa timu ya Kisiwa cha utalii Rubondo Fc.
Kikosi cha Wanamabadiliko kikitafakari kuupata ushindi hata hivyo mchezo uliisha kwa timu hizo kutoka sare ya bila kufungana.
Kikosi cha Rubondo Fc kilichopepetana na Wanamabadiliko Fc.
Chukua Mkwanja Wako Mapema Leo
-
HATIMAYE baada ya jana kushuhudia mechi kibao zikipigwa na matokeo mengine
yakiwa yakustaajibisha, leo hii ni zamu tena ya wababe wengine kibao
uwanja...
RAIS SAMIA AFTURISHA WATOTO KIKOMBO DODOMA
-
Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe.
Mwanaidi Ali Khamis akigawa iftar kwa mmoja ya mtoto anayelelewa katka
Makao ...
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.